[rev_slider alias=”moriah-daycare-1″ slidertitle=”MUSTLEAD NEW”][/rev_slider]

Aplication Form

Online Admission

Welcome
Mustlead Schools

Mustlead Pre & Primary School is a Private school that provides early learning, primary and Secondary education. The school is situated on a friendly and secure environment in Bagamoyo District at Masuguru Village, on the Bagamoyo to Msata Road.

SCHOOL FACILITIES

The school has a Modern Science Laboratories for Physics, Chemistry & Biology.
The school has a Modern Science Laboratories for Physics, Chemistry & Biology.
The School Offers Computer Studies in our Modern Computer room with Projectors and Internet.
The School Offers Computer Studies in our Modern Computer room with Projectors and Internet.
Big and Condusive Learning Environment, including the Spacious Classrooms and Self study areas.
Big and Condusive Learning Environment, including the Spacious Classrooms and Self study areas.
School has reliable and Enough School Buses to satisfy Day Pupils' routes.
School has reliable and Enough School Buses to satisfy Day Pupils’ routes.

MustLead Grade 7 Results 2024


Admission For 2026

Admission Window is Now Open!

Mkuu wa shule ya Msingi na Sekondari Mustlead anawakaribisha wazazi na walezi kufanya usajili wa watoto kuelekea mwaka wa masomo 2026, Dirisha la usajili liko wazi kuanzia Chekechea hadi kidato cha tatu, Shule ni ya kutwa na bweni, jinsia zote (Wavulana na Wasichana) Shule ipo Masuguru, Pembezoni mwa barabara ya Bagamoyo-Msata Mkoani Pwani, Nyote Mnakaribishwa!

Mustlead (Pre & Primary) – Love Learn Lead.

Mustlead (Secondary) – Aspire Action Attain.

IMG_4847
IMG_7086
IMG_5486
IMG_5536
Welcome to Our Dar es salaam Branch

Moriah Daycare.

IMG-20240919-WA0007
IMG-20240919-WA0009
IMG-20240919-WA0010
IMG-20240919-WA0011
IMG-20240919-WA0005

Bunju, Dar es salaam.

+255 769 522 222

+255 786 202 202

Why choose MUSTLEAD?

Mustlead Schools offers students a supportive and future oriented learning environment sustained by quality teachers, experienced staff and modern, well-resourced facilities. Our teachers are committed to the provision of a relevant education, which incorporates the best of traditional, well-proven techniques with up-to-date, modern practices and resources. The staff and community of this school seek to achieve, in our students, strong personal development where children are encouraged to be responsible, caring and productive citizens.

Our Core Values


Kibubu cha Ada

Karibu shule za Mustlead kuanzisha kibubu chako kuelekea mwaka wa Masomo 2025, Kibubu cha ada kitakuwezesha mzazi/mlezi kuweka akiba kidogo kidogo kwenye Kibubu cha Ada ili kulipia Ada muda wa masomo utakapoanza, Wengi walioweka akiba kwenye kibubu cha ada mwaka jana wamenufaika na kusomesha watoto wao bila shida, 

Kujua zaidi kuhusu Kibubu cha ada kutoka shule za Mustlead usisite kuwasiliana nasi kwa namba 0676 668 589 kwa shule ya Msingi au 0713150841 au kwa email info@mustleadschools.ac.tz

MustLead, Ni yetu Sote.

Sababu 20 Kwa Nini Mwanao Asome Shule za MustLead

1. Mfumo wa AdaMfumo wa malipo ya ada ni
chaguo la mzazi. Unapanga ulipe
ada kwa awamu ngapi. Unaweza
kulipa kwa awamu 1,2,3,4,5,6,7,8,9
au 10. Unaweza kulipa ada kwa kila
wiki pia. Unachagua wewe.2. Masomo ya ZiadaWanafunzi
wanafundishwa pia Maarifa ya ziada mf. Kompyuta, Kilimo-Biashara
(Matunda na Mboga Mboga), Ufugaji,
Sanaa na Michezo n.k.
3. Lugha za KigeniTunafundisha lugha za Kigeni mf.
Kifaransa, Kichina na Kiingereza.
Lugha hizi ni muhimu katika karne
hii ya utandawazi.4. Fedha na VipajiWanajifunza
Maarifa ya fedha na Maisha,
Utambuzi wa Vipaji, Ujasiriamali n.k
ili wakimaliza shule waweze kujiajiri.5. Mfumo wa MalipoMfumo
wa malipo umerahisishwa kweli
kweli. Mzazi analipa ada popote alipo
na wakati wowote kwa kutumia
namba maalumu ya mwanafunzi ya
malipo (Control Number) akiwa Bank,
Kwa Wakala au Kupitia Simu yake ya
Mkononi.6. Taarifa za MwanafunziMzazi anapokea taarifa za Maendeleo
ya mwanafunzi kitaaluma Mf.
Majaribio na mitihani ya kila mwezi
kupitia simu yake ya mkononi (App)
popote alipo. Hivyo kupunguza
usumbufu kwa mzazi.
7. TaalumaShule inafanya vizuri
Kitaifa, Kimkoa na Kiwilaya. Mwaka
2020 ilishika nafasi ya kwanza
matokeo ya darasa la saba Kiwilaya
katika kundi lake.8. Kibubu cha ElimuMustlead Schools ni shule pekee nchini ambapo kuna mfumo maalumu kwa wazazi wenye kipato kidogo na kisicho na uhakika. Unalipa ada kidogo kidogo kabla ya mhula kuanza au ndani ya mhula. Unaweka kiasi cha fedha yoyote unayopata kwenye kibubu chako unacho-tengenezewa na shule. Utapatiwa risiti ya mashine
(EFD) kila unapoweka fedha.9. MazingiraMazingira ya
kusoma ni mazuri. Zipo sehemu za
wazi wanafunzi kusoma na kufanya
mijadala. Shule imejitenga sehemu
ya utulivu. Ulinzi niwauhakika.10. Dini na MaadiliKila
mwanafunzi anapata muda wa
kushiriki ibada kwa imani na dhehebu
lake. Siku za ibada, Magari ya shule
huwapeleka wanafunzi, Waislam
Msikitini Siku ya Ijumaa. Wakristo hupelekwa kanisani Wakiwa
na walimu wao. Walimu
wanasimamia maadili ibasavyo.11. Wafanyakazi wa PekeeShule inawafanyakazi wenye Upendo.
Watiifu na Waadilifu. Wabunifu na
Wachapa kazi, ambao wanaishi ndani
ya eneo la shule. Zipo nyumba za
walimu.12. AfyaHuduma za Afya, Maji na
Chakula zimepewa umuhimu wa
kutosha. Wapo Waalimu Wanao
simamia afya za wanafunzi. Ipo
Zahanati ya karibu. Kuna gari la
shule kwa ajili ya wagonjwa masaa
24.13. MichezoKuna viwanja vya
michezo. Wanafunzi kupitia walimu
wa michezo hufanya mazoezi na
kushiriki katika mashindano
mbalimbali ya UMITASHUMTA na UMISETA.
Baadhi ya wanafunzi wamefika hadi
ngazi ya mkoa katika mashindano
mbalimbali ya michezo. 14. Kutembelea WanafunziKwa wanafunzi wa Bweni, Kila
Jumamosi ya Mwisho wa mwezi
mzazi anaruhusiwa (akipenda)
kumtembelea mtoto shuleni. Hii
hutoa fursa kwa wazazi kuwaona
watoto wao kutegemeana na muda
wao.15. Ofa MbalimbaliWenye
mtoto zaidi ya mmoja hupewa
punguzo la asilimia 5 (5% off) ya
ada. Waliomaliza elimu ya msingi
hapa kwetu (Mustlead Primary
School) na kujiunga na shule ya Sekondari ya MUSTLEAD hupewa
punguzo la asilimia 10 ya ada (10%
off).16. Kujiunga ni RahisiPiga
simu ya shule 0753 211 111 kwa
shule ya Msingi na 0713 150 841
kwa shule ya Sekondari. Aidha, Fomu
za Kujiunga unaweza kutumiwa kwa
njia ya Mtandao au ukafika shuleni
moja kwa moja. Unaweza pia
kutembelea tovuti yetu (www.mustleadschools.ac.tz) 17. BweniHuduma za Bweni ni za
Kiwango cha juu. Wanafunzi hulala
kulingana na umri na jinsia. Kila
Bweni lina walezi wawili
kuwahudumia watoto. Aidha, watoto
hupewa mafunzo ya maisha ya
nyumbani na maadili.18. Zawadi kwa WahitimuKila
mwaka shule hutoa zawadi kwa
wahitimu, ikiwemo Tshirts na Vitabu
Vya Maarifa Mbalimbali. Vitabu
vilivyotolewa kwa wahitimu hadi sasa
ni TETEMEKO LA UJANA (2020),
KIJANA MWENYE NDOTO KUBWA
(2021) na WHY YOU SHOULD NOT
LOSE HOPE (2022).19. TuzoTaasisi imepokea Tuzo
mbalimbali za Ushindi. Moja ya Tuzo
Kubwa ni ile ya Ushindi wa Shindano la Ujasiriamali Nchini kutoka Baraza
la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi
(NEEC). Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa
alikabidhi zawadi hizo kwa MUST
LEAD20. Usafiri wa UhakikaWanafunzi
wa Kutwa huchukuliwa na kurudishwa na
gari za shule. Barabara ya Chalinze-Msata, Bagamoyo-Msata, Tanga-Msata
gari za shule hupita. Ndani ya kila gari
kuna Mwalimu-Msimamizi kwa Usalama
wa Watoto.
Madereva wa MUST LEAD ni Nadhifu
sana na Makini wakati wote.

OUR VISION AND MISSION





 

 

Vision

To graduate competent and self-reliant students who cope well with
contemporary local and global market for their socio-economic prosperity.

Mission

To adopt national education curriculum and capitalize on power of network,
digital platform and collaboration with local and international likeminded
partners.

 

Time to remember…

Study Tour 2023

IMG_0284
IMG_0901
IMG_0267
IMG_0082
IMG_0060
IMG_0063
IMG_0914
IMG_0890
IMG_0001
IMG_0002
IMG_0003
IMG_0004
IMG_0007
IMG_0010
IMG_0027
IMG_0054
IMG_0096
IMG_0124
IMG_0167
IMG_0186
IMG_0244
IMG_0255
IMG_0257
IMG_0318

Our Powerful Staff

Form 4 Graduation 2025

IMG_4843
IMG_4407
IMG_4557
IMG_4722
IMG_4553
IMG_4458
IMG_4455
IMG_4658
IMG_4702
IMG_4724
IMG_4818
IMG_4834
IMG_4869
IMG_4884
IMG_4910
IMG_4847
IMG_4962
IMG_4846

5th Grade 7 Graduation

Mustlead Schools Team




Dr. Peter Mkufya (PhD)

School Director


Dr. Peter Mkufya (PhD)

School Director

Contact Us

[fluentform id=”1″]





 



ADMISSIONS OPEN!
Mustlead Pre, Primary & Secondary School is now enrolling for academic year 2026
Admission forms are available at…
Mustlead Main branch [Masuguru, Bagamoyo – Msata road, Pwani]
Mustlead Lugoba Branch [Lugoba, Chalinze – Tanga road]
Mustlead Kiwangwa Branch [Kiwangwa, Bagamoyo, Pwani]
Mustlead Msata Branch [Msata, Junction to Chalinze, Bagamoyo and Tanga]
Forms are also available at Moriah Daycare and Preschool [Bunju, Dar es salaam]
You are all warmly welcome



Perfect Replica Watches UK ‣ The Best Swiss Made 1:1 Replica Rolex Watches « Store:perfectreplica.cc.
Best AAA hublot Replica Watches UK – Buy Cheap Fake Hublot For Sale:hublotcopy.com.
TAG Heuer Top Replica Rolex Watches Site – Best Replica Watches UK:tagheuerreplica.com.

Bokep Indonesia bokep indonesia terbaru Bokep jilbab bokep viral Bokep Indonesia bokep jav bokep jepang jav terbaru seto kanna Saika Kawakita Mio Ishikawa
GOBETASIA GOBETASIA GOBETASIA GOBETASIA